Thursday, October 2, 2014

HII NI AINA NYINGINE YA PAMPU ZA MAJI ZA SURFACE INAITWA KINGMAX.

Pampu hii inavuta cubic meter 10 na kusukuma cubic meter zaidi ya 50 kwa mpira wa 2".
Pampu hii inatumia mafuta ya Petrol ilikujiendesha na pia ikitokea imeharibika popote spare parts zake zinapatikana kirahisi na hata sisi tunazo.
Pata pampu hii kwa shilingi 265,000/= tu na utapewa guarantee ya mwaka mmoja.
Karibuni kwenye maduka yetu ya MGS/MARUNDA GENERAL SUPPLIES mjipatie bidhaa bora,za kisasa na kwa bei poa. Kwa mawasiliano zaidi piga; 0766 284 879, 0766 910 375, 0755 435 906.

4 comments:

  1. pampu kama hio ndo shingapi mkuu ?

    ReplyDelete
  2. Mipira bei .gani mita 100 na koromeo mita bei gani

    ReplyDelete
  3. Kwa mkoa wa Ruvuma Marunda General Supplies mna ofisi???

    ReplyDelete
  4. Mbona hamjibu comment za watu, mnazingua dadeki

    ReplyDelete