Inakata Tiles za mpaka 20".
Mashine hii inakata na kutoboa na hili ndio limtambo lake la kutoboa.
Kitako chake yaani "base" ni kigumu,bomba zake hazinepi na pia kisu chake yaani "Tile cutting wheel" hakiishi haraka na kikiisha tunauza spare zake.
Pata mashine hii kwa bei ya shilingi 55,000/= tu.
Kwa maelezo zaidi piga 0766 910 375,0766 284 879 na mwisho 0755 435 906
No comments:
Post a Comment