Tuesday, September 30, 2014
NJOO KWENYE MADUKA YETU UPATE WATER PUMP AINA ZOTE TUNA PAMPU ZAKUZAMISHA NDANI YA MAJI NA ZA JUU YAANI ZA SURFACE.
Pampu hii ni miongoni mwa pump za surface inatumia petrol.
Inavuta maji umbali wa hadi mita 5 nakusukuma umbali mrefu sana zaidi hata ya mita 50
Imetengenezwa na kampuni ya Honda haisumbui,ni imara na yenye guarantee.
Pata pump hii kwa gharama ya shilingi 305,000/= tu.
Njoo kwenye maduka yetu upate pampu nzuri kwa bei nzuri.
Huu ndio mpira wake ni 3" saizi moja na hio pampu hapo juu,kuna wenye urefu wa mita 50 kama huu na wa mita 100.
Kama huu ni shilingi 85,000/= na wa mita 100 ni shilingi 150,000/=
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment