Sunday, September 28, 2014
HUU NI MZANI ORIGINAL KUTOKA KENYA
Mzani huu unatengenezwa na kampuni bora,kongwe na iliyothibitishwa na shirika la vipimo nchini Kenya,ni imara,ngumu,haikupunji wala haimpunji mteja na inauwezo wa kupima hadi kilo 15.
Kuhusu rangi zipo za kijani pamoja na za rangi ya shaba yaani Gold. Mzani huu utapata kwa gharama ya shilingi 90,000/= tu.
Haya ni baadhi ya mawe yake,mawe yake yamepimwa na kuthibitishwa kuwa ni halali kwa matumizi ya vipimo. Mzani huu unajumla ya mawe 7 yaani 2kg,1kg,500g,200g (hizi zipo mbili),100g pamoja na 50g. Hii 50g imetengenezwa na material ya chuma aina ya brass yaani haipauki kama 50g zingine feli zilizo puliziwa rangi.
Kwa kumalizia mzani huu unamuda wa dhamana wa mwaka mmoja yaani 1 year warranty.
Tunawakaribisha watu wote kwenye maduka yetu yaliyopo Sabena Arusha.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0766 284 879 au 0766 910 375 au 0755 435 906 (kila namba ya sim inaduka lake na ukienda kwenye duka lolote utapata)
UKITAKA KUNUNUA MZANI WOWOTE AU VIFAA YA UJENZI AU CARPET ZA AINA YOYOTE AU VIFAA VYA UMEME AU VIFAA VYA KIUFUNDI NJOO MJINI ARUSHA,TAFUTA DUKA LOLOTE LINALO HUSIKA NA VIFAA HIVYO LILILO ANDIKWA MARUNDA GENERAL SUPPLIES UTAPATA, UKIENDA KWINGINE UMEPOTEA NA UNAWEZA KUIBIWA.
Asante kwa kuwa mteja wetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment