Tuesday, October 28, 2014

MZANI WA SAA CAMRY

Inauwezo wa kupima hadi kilogram 15 yaani 15Kgs capacity.
Pia inapima hadi paundi 33 yaani 33LBS capacity.
Pata mzani huu kwa gharama ya shilingi 24,000/= tu.
Naskio YAKE ni magumu yaani yanauwezo wakuhimili kilo husika na sahani yake imetengenezwa kwa Chuma aina ya STAINLESS STEEL yaani haikwanguki wala kuchakaa hata kama inatumika kupima vitu vigimu.
Tunakaribisha wateja wote wa jumla na warejareja.

Thursday, October 23, 2014

MANUAL WALL COVER/CHEMBA

Size 30cmX30cm sawa na 12"x12",bei 14,000/=Tshs.
Ni ngumu,Ni nene,Ni nzito (Bado sifa zake zinaendelea...)
Size 40cmX40cm sawa na 16"x16" (Square),bei 27,000/=Tshs.
Bidhaa hizi zimetengenezwa kwa material aina ya CAST IRON na zinauwezo wa kuhimili hadi uzito wa tani 4(Bado sifa zinaendelea...) Size 45cmX45cm sawa na 18"x18",price 34,000/=Tshs.
Pia chemba zimepigwa rangi nyeusi (kama zinavyoonekana) ili kuzuia zisipate kutu pamoja na kuleta mvuto (Bado sifa zinaendelea...)
Size 55cmX55cm sawa na 22"x22",bei 53,000/=Tshs.
Sifa ya mwisho chemba hizi zimetengenezewa CHINA(nikisema CHINA hainamaana kwamba eti ni FEKI,hapana nikitu ORIGINAL kabisa. Kama unazihitaji au ungependa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na sisi kupiti namba hizi; 0766 284 879,0766 910 375,0755 435 906. WOTE MNAKARIBISHWA!!

Sunday, October 19, 2014

MAPANGA/SWORDS

Hili ni panga lilotengenezwa na kampuni ya LASHER linaitwa BOLO, Made in South Africa, Pata kwa Tshs 13,000/=
Hili ni panga la TRAMONTINA toka Brazil ni Tshs 12,000/=
Hili Panga chapa mamba (CROCODILE) toka China ni Tshs 3,000/=
Hili nalo ni Panga chapa mamba (CROCODILE) toka China pata kwa Tshs 3,000/= tu.
Hii fekeo/slasher chapa mamba (CROCODILE) toka China, utapata kwa Tshs 3,000/= pia.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0766 284 879/0766 910 375/0755 435 906

Friday, October 17, 2014

PIPE LEVEL/HOSE PIPE

Urefu wake ni 10yards sawa na mita kumi kasoro na unene wake ni 6mm.
Pata kwa Tshs 5,000/= tu.
Kwa mawasiliano zaidi piga; 0766 910 375,0766 284 879 & 0755 435 906. Wote mnakaribishwa.

Monday, October 13, 2014

TOILET ASIAN TYPE

Pata choo cha FRENCIA kwa shilingi 18,000/= tu.
Nikigumu na hakifubai wala kuchubuka kiurahisi.
Fittings zake pia zipo utapata kwa bei poa bila kusahau Flash Tank. Wote mnakaribishwa.

Sunday, October 12, 2014

PATA BELESHI KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA

Pata Kwa gharama ya shilingi 8000/= tu.
Pata kwa gharama ya shilingi 7,500/= tu.
Hii mpini wake ni wa mbao na hizo nyingine hapo juu mpini ni chuma beleshi chuma. Pata beleshi hii kwa gharama ya shilingi 5,000/= tu. Wote mnakaribishwa na kwa wale wa jumla wanaombwa kufika kwenye ofisi zetu. Kwa masiliano zaidi piga 0755 435 906,0766 284 879 na mwisho 0766 910 375.

Friday, October 10, 2014

TILE CUTTER 12"/300mm

Pipe zake ni ngumu na hazinepi hata uwe unakata tile ngumu vipi.
Kitako chake ni kigumu kinahimili tiles za unene wowote.
Pata kwa shilingi 25,000/= tu.
For more information cell;0766 284 879,0766 910 375,0755 435 906 & 0768 297 360.

Wednesday, October 8, 2014

TILE CUTTER MACHINE 20"/500mm

Bomba zake ni ngumu hazinepi hata utumie nguvu kiasi gani.
Kitako chake ni kigumu hivyo kinaweza kuhimili tiles zinye unene wowote.
Ili kutatua tatizo la mikono ya mashine za tiles kuvunjika vunjika hivyo wakati wa kuvunja tiles mashine hii imewekewa mkono mgumu hivyo unaweza kukata na kuvunja tiles yoyote ile.
Kipaji kingine cha mashine hii ni kwamba inakata mpaka vioo. Pata mashine kwa gharama ya shilingi 40,000/= tu. EPUKA MATAPELI USILIPE PESA WALA USITUME PESA YAKO MAHALI POPOTE TOFAUTI NAKUFIKA KTK OFISI ZA MARUNDA GENERAL SUPPLIES ZILIZOPO JIJINI ARUSHA. Kwa mawasiliano zaidi piga 0766 284 879,0766 910 375 na mwisho 0755 435 906. Ahsante kwa kuwa mteja wetu.

Tuesday, October 7, 2014

3 IN 1 MULTI-FUCTION TILE CUTTER 460mm

Inakata Tiles za mpaka 20".
Mashine hii inakata na kutoboa na hili ndio limtambo lake la kutoboa.
Kitako chake yaani "base" ni kigumu,bomba zake hazinepi na pia kisu chake yaani "Tile cutting wheel" hakiishi haraka na kikiisha tunauza spare zake.
Pata mashine hii kwa bei ya shilingi 55,000/= tu. Kwa maelezo zaidi piga 0766 910 375,0766 284 879 na mwisho 0755 435 906

Monday, October 6, 2014

ALUMINIUM MULTI PURPOSE LADDER

Hii inaurefu wa meter 4 pia zipo zenye urefu tofauti tofauti kama meter 5,6,7,8 mpaka 12.
Sehemu kubwa ya ngazi hii imetengenezwa kwa material ya aluminium ili kuhakikisha ngazi kuwa nyepesi na yenye kubebeka kuurahisi
Maximum inabeba kilo 150 na unaweza kuikunja kwa style yoyote unayotaka wewe.
Na haya ni baadhi ya maelekezo yake ya namna kutumia
Pata kwa bei ya shilingi 120,000/=, hii ndio MGS ukienda kwingine umeibiwa. Kwa maelezo zaidi piga 0766 910 375, 0755 435 906 & 0766 284 879. Wote mnakaribishwa.

Sunday, October 5, 2014

WHEELBARROW LASHER TYPE

Ni imara na wenye kuhimili mzigo mkubwa
Pata kwa gharama ya shilingi 70,000/= tu
Na kwa wale wa jumla mali ipo mingi wasisite kuja kwenye ofisi zetu watapata kwa bei ya jumla
Wheels zake pia zipo, pata kwa bei ya shilingi 20,000/ tu,zote bei moja.
For more information call; 0766 284 879,0766 910 375,0755 435 906 & 0768 297 360 (kila namba inaduka lake na maduka yote yana huduma nzuri. MARUNDA GENERAL SUPPLIES (We build your house from the first step to the last one)

Saturday, October 4, 2014

WATER PUMP PEDROLLO 0.5 HP

Made in Italy
Capacity 18mtrs
Price 120,000/=, 2 years guarantee.
Available at MGS shops in Arusha,Town.
Contacts; 0766 910 375,0766 284 879 & 0755 435 906.