Tuesday, September 30, 2014

NJOO KWENYE MADUKA YETU UPATE WATER PUMP AINA ZOTE TUNA PAMPU ZAKUZAMISHA NDANI YA MAJI NA ZA JUU YAANI ZA SURFACE.

Pampu hii ni miongoni mwa pump za surface inatumia petrol.
Inavuta maji umbali wa hadi mita 5 nakusukuma umbali mrefu sana zaidi hata ya mita 50
Imetengenezwa na kampuni ya Honda haisumbui,ni imara na yenye guarantee.
Pata pump hii kwa gharama ya shilingi 305,000/= tu.
Njoo kwenye maduka yetu upate pampu nzuri kwa bei nzuri.
Huu ndio mpira wake ni 3" saizi moja na hio pampu hapo juu,kuna wenye urefu wa mita 50 kama huu na wa mita 100. Kama huu ni shilingi 85,000/= na wa mita 100 ni shilingi 150,000/=

Sunday, September 28, 2014

HUU NI MZANI ORIGINAL KUTOKA KENYA

Mzani huu unatengenezwa na kampuni bora,kongwe na iliyothibitishwa na shirika la vipimo nchini Kenya,ni imara,ngumu,haikupunji wala haimpunji mteja na inauwezo wa kupima hadi kilo 15.
Kuhusu rangi zipo za kijani pamoja na za rangi ya shaba yaani Gold. Mzani huu utapata kwa gharama ya shilingi 90,000/= tu.
Haya ni baadhi ya mawe yake,mawe yake yamepimwa na kuthibitishwa kuwa ni halali kwa matumizi ya vipimo. Mzani huu unajumla ya mawe 7 yaani 2kg,1kg,500g,200g (hizi zipo mbili),100g pamoja na 50g. Hii 50g imetengenezwa na material ya chuma aina ya brass yaani haipauki kama 50g zingine feli zilizo puliziwa rangi. Kwa kumalizia mzani huu unamuda wa dhamana wa mwaka mmoja yaani 1 year warranty. Tunawakaribisha watu wote kwenye maduka yetu yaliyopo Sabena Arusha. Kwa mawasiliano zaidi piga 0766 284 879 au 0766 910 375 au 0755 435 906 (kila namba ya sim inaduka lake na ukienda kwenye duka lolote utapata) UKITAKA KUNUNUA MZANI WOWOTE AU VIFAA YA UJENZI AU CARPET ZA AINA YOYOTE AU VIFAA VYA UMEME AU VIFAA VYA KIUFUNDI NJOO MJINI ARUSHA,TAFUTA DUKA LOLOTE LINALO HUSIKA NA VIFAA HIVYO LILILO ANDIKWA MARUNDA GENERAL SUPPLIES UTAPATA, UKIENDA KWINGINE UMEPOTEA NA UNAWEZA KUIBIWA. Asante kwa kuwa mteja wetu.