Huu ni mzani original toka India unaitwa CAMEL.
C
10kgs capacity,Price 85,000/=Tshs.
Na haya ndio mawe yake yako 6 yaani 2kg,1kg,500g,200g,100g nalamwisho 50g.
Huu ni wa kampuni nyingine unaitwa PRITI.
10kgms capacity,Price 70,000/= tu.
Zipo za rangi tofauti tofauti kama unavyoona.
Haya ndio mawe yake na yenyewe pia yapo sita.
Yaani 2kg,1kg,500g,200g,100g na 50g.
Watu wote mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment