Thursday, November 27, 2014
FUEL WATER PUMP
Hose power 6.75
Inatumia mafuta ya Petrol
Pipe zake ni 3''
Pata kwa Tshs 355,000/= tu
For more information kuhusu hii bidhaa wasiliana na sisi kupitia;
Saturday, November 22, 2014
WATER PUMP SHIMGE
1 Hose Power,Price 170,000/= Tshs.
Wire 10 meters/3 core/0.75mm.
Stainless steel fillter/Base, Water outlet 1''.
Inapampu maji mita 33 kwenda juu na kwenye level 100mtrs
Pata mazuri hayo Marunda MGS pekee tunakaribisha watu wote wa jumla na wa rejareja.
Kwa manunuzi yote yanayohusu uboreshaji wa nyumba na maisha kwa ujumla MGS ndio jibu lako.
Friday, November 7, 2014
ASIAN TOILET INDIA
Tshs 20,000/= only.
Nikigumu,Hakifubai kirahisi na nikikubwa vizuri yaani wakati wakujisahidia unajiachia,unajipa nafasi kwa raha zako.
Made in India kama unavyoona na kimetengenezwa na kampuni bora kabisa ya Reliance.
Wote mnakaribishwa M G S,Arusha Tanzania mpate vitu vizuri,vyenye QUALITY nzuri na kwa bei nzuri.
Tuesday, November 4, 2014
WASHING BASIN
Tshs 20,000/= likiwa peke yake na likiwa COMPLETE yaani pamoja na Pillar tape,Flexible pipe na Bottle trape.
Niligumu,Niimara na Halifubai hata uwe mchafu kiasi gani.
Linaitwa RELIANCE,Made in India.
Hili ni aina nyingine ya Washing Basin linaitwa HINDUSTAN.
Made in India.
Hili nikubwa kidogo pata kwa bei ya Tshs 22,000/= tu.
Wote mnakaribishwa na bei ni maelewano.
Sunday, November 2, 2014
MIZANI ZA RELI
Huu ni mzani original toka India unaitwa CAMEL.C
10kgs capacity,Price 85,000/=Tshs.
Na haya ndio mawe yake yako 6 yaani 2kg,1kg,500g,200g,100g nalamwisho 50g.
Huu ni wa kampuni nyingine unaitwa PRITI.
10kgms capacity,Price 70,000/= tu.
Zipo za rangi tofauti tofauti kama unavyoona.
Haya ndio mawe yake na yenyewe pia yapo sita.
Yaani 2kg,1kg,500g,200g,100g na 50g.
Watu wote mnakaribishwa.
Subscribe to:
Posts (Atom)