Thursday, November 27, 2014
FUEL WATER PUMP
Hose power 6.75
Inatumia mafuta ya Petrol
Pipe zake ni 3''
Pata kwa Tshs 355,000/= tu
For more information kuhusu hii bidhaa wasiliana na sisi kupitia;
Saturday, November 22, 2014
WATER PUMP SHIMGE
1 Hose Power,Price 170,000/= Tshs.
Wire 10 meters/3 core/0.75mm.
Stainless steel fillter/Base, Water outlet 1''.
Inapampu maji mita 33 kwenda juu na kwenye level 100mtrs
Pata mazuri hayo Marunda MGS pekee tunakaribisha watu wote wa jumla na wa rejareja.
Kwa manunuzi yote yanayohusu uboreshaji wa nyumba na maisha kwa ujumla MGS ndio jibu lako.
Friday, November 7, 2014
ASIAN TOILET INDIA
Tshs 20,000/= only.
Nikigumu,Hakifubai kirahisi na nikikubwa vizuri yaani wakati wakujisahidia unajiachia,unajipa nafasi kwa raha zako.
Made in India kama unavyoona na kimetengenezwa na kampuni bora kabisa ya Reliance.
Wote mnakaribishwa M G S,Arusha Tanzania mpate vitu vizuri,vyenye QUALITY nzuri na kwa bei nzuri.
Tuesday, November 4, 2014
WASHING BASIN
Tshs 20,000/= likiwa peke yake na likiwa COMPLETE yaani pamoja na Pillar tape,Flexible pipe na Bottle trape.
Niligumu,Niimara na Halifubai hata uwe mchafu kiasi gani.
Linaitwa RELIANCE,Made in India.
Hili ni aina nyingine ya Washing Basin linaitwa HINDUSTAN.
Made in India.
Hili nikubwa kidogo pata kwa bei ya Tshs 22,000/= tu.
Wote mnakaribishwa na bei ni maelewano.
Sunday, November 2, 2014
MIZANI ZA RELI
Huu ni mzani original toka India unaitwa CAMEL.C
10kgs capacity,Price 85,000/=Tshs.
Na haya ndio mawe yake yako 6 yaani 2kg,1kg,500g,200g,100g nalamwisho 50g.
Huu ni wa kampuni nyingine unaitwa PRITI.
10kgms capacity,Price 70,000/= tu.
Zipo za rangi tofauti tofauti kama unavyoona.
Haya ndio mawe yake na yenyewe pia yapo sita.
Yaani 2kg,1kg,500g,200g,100g na 50g.
Watu wote mnakaribishwa.
Tuesday, October 28, 2014
MZANI WA SAA CAMRY
Inauwezo wa kupima hadi kilogram 15 yaani 15Kgs capacity.
Pia inapima hadi paundi 33 yaani 33LBS capacity.
Pata mzani huu kwa gharama ya shilingi 24,000/= tu.
Naskio YAKE ni magumu yaani yanauwezo wakuhimili kilo husika na sahani yake imetengenezwa kwa Chuma aina ya STAINLESS STEEL yaani haikwanguki wala kuchakaa hata kama inatumika kupima vitu vigimu.
Tunakaribisha wateja wote wa jumla na warejareja.
Thursday, October 23, 2014
MANUAL WALL COVER/CHEMBA
Size 30cmX30cm sawa na 12"x12",bei 14,000/=Tshs.
Ni ngumu,Ni nene,Ni nzito (Bado sifa zake zinaendelea...)
Size 40cmX40cm sawa na 16"x16" (Square),bei 27,000/=Tshs.
Bidhaa hizi zimetengenezwa kwa material aina ya CAST IRON na zinauwezo wa kuhimili hadi uzito wa tani 4(Bado sifa zinaendelea...)
Size 45cmX45cm sawa na 18"x18",price 34,000/=Tshs.
Pia chemba zimepigwa rangi nyeusi (kama zinavyoonekana) ili kuzuia zisipate kutu pamoja na kuleta mvuto (Bado sifa zinaendelea...)
Size 55cmX55cm sawa na 22"x22",bei 53,000/=Tshs.
Sifa ya mwisho chemba hizi zimetengenezewa CHINA(nikisema CHINA hainamaana kwamba eti ni FEKI,hapana nikitu ORIGINAL kabisa. Kama unazihitaji au ungependa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na sisi kupiti namba hizi; 0766 284 879,0766 910 375,0755 435 906.
WOTE MNAKARIBISHWA!!
Sunday, October 19, 2014
MAPANGA/SWORDS
Hili ni panga lilotengenezwa na kampuni ya LASHER linaitwa BOLO, Made in South Africa, Pata kwa Tshs 13,000/=
Hili ni panga la TRAMONTINA toka Brazil ni Tshs 12,000/=
Hili Panga chapa mamba (CROCODILE) toka China ni Tshs 3,000/=
Hili nalo ni Panga chapa mamba (CROCODILE) toka China pata kwa Tshs 3,000/= tu.
Hii fekeo/slasher chapa mamba (CROCODILE) toka China, utapata kwa Tshs 3,000/= pia.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0766 284 879/0766 910 375/0755 435 906
Friday, October 17, 2014
PIPE LEVEL/HOSE PIPE
Urefu wake ni 10yards sawa na mita kumi kasoro na unene wake ni 6mm.
Pata kwa Tshs 5,000/= tu.
Kwa mawasiliano zaidi piga; 0766 910 375,0766 284 879 & 0755 435 906. Wote mnakaribishwa.
Subscribe to:
Posts (Atom)